Description
Paka na Panya Mwandishi: Nyakeri. Chaka ni paka anayeishi kichakani. Mvua inanyeshasa na na hawezi kupata chakula.Njaa inamuuma sana. Mvua inapopungua anaondoka kwenda kutafuta chakula. Je, atapata?