Description
Jasiri amekuwa mwenye siri sana. Anajifungia ndani ya chumba chake na hawaruhusu Zuri au Toto kuingia chumbani mwake. Anajiepusha na wazazi wake na Bibi Fatuma. Mama na Baba wana wasiwasi. Jasiri anaficha nini?
Kitabu hiki ni bora kwa wasomaji chipukizi huru wenye umri kati ya miaka tisa na kumi na moja au darasa la sita. Hadithi hii inakuza hisia za huruma, uwajibikaji, na heshima kama thamani muhimu na uwezo wa kufikiri kwa kina na kutatua matatizo kama vipaji vya CBC.
Reviews
There are no reviews yet.