Availability: In Stock

Chungu Cha Zai

SKU: 9789966654694

KSh130

KES
  • KES
  • USD

1 in stock

Category: Vendor: Daniel Okamiu

Description

Chungu cha Zai ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zilizochapishwa na KLB. Hadithi hii inawalenga watoto wa darasa la tano.Katika hadithi hii, jitu moja liiiishi kwenye msitu karibu na kijiji cha Tisha. Wanakijiji wa Tisha walihofia maisha yao. Kwa mfano, hawangeweza kupanda miti kwenye msitu huo kwa minajili ya kuzuia jangwa. Pia, watoto wao walizuiliiwa kwenda shuleni kwani shule yao ilikuwa ng’ambo ya pili ya msitu huo. Je, maisha ya wanakijiji yaliokolewa vipi na Zai kijana hodari?

Additional information

Weight 20 g
Dimensions 17.2 × 12.2 × 0.2 cm

Vendor Information

Vendor: Daniel Okamiu