Description
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu kinachofundisha watoto mashariki au magharibi nyumbani ni bora.
Gumba anachoshwa na kazi ambayo anafanyishwa na vidole wenzake. Kutokana na hali hii, anafunga safari kwenda kuitembelea familia ya Mguu. Endelea kusoma ili ujue ni nini.






