Description
Kitabu hiki ni mwongozo wa mwalimu wa Kiswahili kwa Gredi ya 4, kilichoundwa kulingana na Mtaala wa Umilisi (Competency-Based Curriculum) nchini Kenya. Kimeidhinishwa na KICD na kinatoa maelekezo ya kina, mifano ya shughuli, na mbinu za tathmini ili kumwezesha mwalimu kuendesha masomo kwa ufanisi na kuwajengea wanafunzi ujuzi wa lugha ya Kiswahili.