Description
Nasaha Nasari ni mfululizo wa hadithi za shule ya Nasari zinazochapishwa na shirika la KLB. Hadithi hii ya Maria Analia ni ya pili katika msururu huu.
Hadithi hii inaelekeza wanafunzi kujifunza majina ya watu wa familia. Kupitia kwa hadithi hii, watoto wanafunzwa umuhimu wa
kucheza na wenzao. Majina ya ukoo pia yanafunzwa kwa namna ya kipekee.






