Availability: In Stock

Nasaha Ya Kamusi

SKU: 9789966103475

KSh900

KES
  • KES
  • USD

1 in stock

Category: Vendor: Daniel Okamiu Brands:

Description

Nasaha Kamusi ya Misemo Kimaudhui imeainisha misemo ya Kiswahili kimaudhui au kimuktadha wa matumizi. Misemo hiyo itamwelekeza msomaji au mtumiaji kuitumia vyema katika muktadha maalum.
Hapana shaka kuwa Kamusi hii ya misemo kimaudhui itawasaidia pakubwa wote wanaoienzi lugha yetu tukufu ya Kiswahili. Itakuza kwa kiwango kikubwa matumizi ya misemo za kiswahili kwa njia mwafaka.
Msururu huu wa Kamusi unaochapishwa na KLB pia una:
Nasaha – Kamusi ya Vitendawili na Mafumbo
Nasaha – Kamusi ya Methali Kimaudhui

Additional information

Weight 477 g
Dimensions 20.5 × 14.6 × 2 cm

Vendor Information

Vendor: Daniel Okamiu