Description
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuendelea katika kile wanachofanya.
Punda wa mkulima anaanguka kisimani. Mkulima anajaribu kumuondoa humo bila mafanikio. Je, punda atasaidiwa?






