Availability: In Stock

Rosa Mistika

SKU: 9789966446732

KSh380

KES
  • KES
  • USD

1 in stock

Category: Vendor: Daniel Okamiu

Description

Rosa Mistika”waridi lenye fumbo; uwili wa maisha. Rosa Mistika”wapo wanaomwita malaya, mzinzi mkuu, mvunja nyumba za watu; na wapo wengine wanaomwona kama msichana mwenye nafsi isiyo na hatia, msichana aliyekuwa amezingwa na kutekwa nyara na shinikizo hasi za mazingira, yakamghilibu bila ya kujitambua. Rosa Mistika”wachache wenye malezi makali wamemwita asherati. na kukataa katakata asisomwe kwa hofu ya kupotosha wengine;

Additional information

Weight 126 g
Dimensions 20.4 × 14.3 × 0.6 cm

Vendor Information

Vendor: Daniel Okamiu