Description
Thithinda ni mti mdogo aliye na hamu ya kukimbia kama sungura na kuruka kama kipepeo, lakini hawezi. Mamake Thithinda anamfundisha mchezo wa upepo.
Hadithi hii ina mafunzo kuhusu kujitambua na kujikubali jinsi ulivyo.Jaqueline Ayiro, mzazi






